Logement nchini Marekani
Msaada wa logement
Nchini Marekani, usaidizi wa logement unaweza kuwa mdogo na mara nyingi liste d'attente iko mrefu. Mpango hii kwa kawaida huendeshwa na mashirika ya serikali ya mtaa au jimbo, kama vile wakuu viongozi wanao husika na logement, na wakati mwingine na mashirika yasiyo ya kiserkali. Ikiwa unahitaji usaidizi, unaweza kuanza kwanza kuwasiliana na office ya logement iliyo kuwa ku eneo yako au shirika la usaidizi kwa wageni.
Samani
Kupanga nyumba kunaweza kuwa vigumu, lakini kuna ma stratégies na ma ressources za kuwasaidia wageni wanaofika Marekani, ikiwa ni pamoja na benki za samani, maduka ya ma occasion, soko la mtandaoni, na mashirika yasiyo ya kiserkali. Mashirika haya hutofautiana kutoka tauni hadi nyingine, kwa hivyo ni muhimu kuchunguza chaguo za ndani ili kupunguza ma depense kama na hii. Kumbuka kwamba vitu vyako vya nyumbani vingi ama ma articles ménagers vinaweza kutumikishwa. Mara baada ya kuwa na mapato ya kutosha, unaweza kuchagua vitu vinavyofaa kufatana na goût yako na bajeti.
Coût ya logement
Nyumba ni bei kali nchini Marekani, na inaweza kuwa vigumu kupata mahali pa kuishi. Ku louer nyumba au appartement ni kawaida. Coût ya logement ina tofautiana sana kulingana na jimbo, tauni na kitongoji. Hijapokuwa unaishi wapi, nyumba inaweza kuwa depense yako kubwa zaidi ya kila mwezi.
Haki na responsabilité kwa mambo inayo husu logement
Nchini Marekani, wa locataires na ma bailleurs wana haki na ma responsabilités. Unapo faire louer appartement au nyumba, lazima u signer makubaliano yanayoitwa bail. Katika bail, unachukuliwa kuwa locataire na unakubali louer mali hiyo kwa muda fulani, kulipa loyer na huduma kwa wakati, na kudumisha mali hiyo.
Wakati huo huo, una haki muhimu kama locataire. Hizi ni: ikiwa ni pamoja na haki zifuatazo
- haki ya kuishi katika logement ya salama na inayo wezekani ku ishi ndani
- haki ya ku ambiliwa na bailleur ku ongezwa kwa loyer au kufukuzwa
- haki ya kukagua na kuelewa bail yako kabla ya ku signer
- haki ya kutafuta reparation kwa hali zisizo salama au zisizo safi
- haki ya ku rudishiwa pesa yako ya garantie bila deduction yoyote pasipo masikilizano
- haki ya procédure unaostahili kabla ya kufukuzwa.
Ikiwa una maswali au wasiwasi wowote, unaweza kuwasiliana na office ya logement ya eneo lako, ofisi ya usaidizi wa kisheria, au shirika la jumuiya linalosaidia wapangaji.
Responsabilité ya propriétaire
Sheria ya logement inahusu bailleur na locataire. Wenye nyumba lazima wahakikishe kuwa logement yao inajibu ku ma norme ya sécurité na salubrité ku ma biens locatifs. Ni lazima wenye nyumba ahakikishe kwamba vyombo vya umeme plombérie, na chauffage viko en bon état. Ni lazima wa tiye vigunduzi vya moshi ama detecteur de fumée na kuhakikisha hakuna panya au vidudu. Sheria ya logement pia zinataja kwamba wa bailleurs hawawezi kukataa kupangisha watu kwa sababu ya rangi zao, taifa, dini, jinsia, hali ya familia, au hali ya kimwili au kiakili.
Kuhama
Ukiamua kuhama, ni lazima umjulishe bailleur wako mapema, kama inavyo andikwa ku contrat de location. Ikiwa hau eshimu contrat de bail yako (ikiwa utaondoka kwenye apparemment kabla ya mwisho wa muda wa bail yako), unaweza ku pata amande na impact négatif ku cote ya crédit yako. Kuhama kunaweza kuwa bei kali, kwa hivyo hakikisha kuwa unaweza kujiweza mbele ya wewe ku mettre fin ku bail yako.
Unapobadilisha adresse yako, ni muhimu kuarifu gavmenti ya Marekani na Posta ya Marekani. Hii inahakikisha kwamba unaendelea kupokea barua muhimu na kwamba ma dossier yako ya immigration zinaendelea kubaki à jour. Ukipokea manufaa ya umma kama vile SNAP au Medicaid, lazima pia uwajulishe mashirika haya ya serikali unapohama.
Kuwa jirani mwema
Nchini Marekani, jirani mwema ni mtu anayewajali watu wanaoishi karibu. Ikiwa unaishi katika appartement, lazima uhakikishe usafi wa maeneo ya kawaida. Ikiwa unaishi ndani ya nyumba, lazima utunze pelouse yako na utoe poubelle tu siku ya ramassage. Kama voisin attentionné, unapaswa kupunguza kelele usiku ili usisumbue majirani zako.
Kuhamia communauté mpya si rahisi, na inaweza kuhisi tofauti na ulivyozoea. Kwa wakati, subira, na usaidizi, unaweza kukabiliana na mazingira yako mapya na kuunda nyumba ambayo unahisi salama na vizuri.