- Home
- Maisha inchini Amerika
- Sheria Ya Amerika
-
Jinsi ya Kushirikiana na Polisi nchini Marekani
- Home
- Maisha inchini Amerika
- Sheria Ya Amerika
-
Jinsi ya Kushirikiana na Polisi nchini Marekani
- Home
- Maisha inchini Amerika
- Sheria Ya Amerika
-
Jinsi ya Kushirikiana na Polisi nchini Marekani
Main navigation
- Kwa Kifupi
-
- After-School Activities in the U.S.
- Childhood Vaccination Requirements for Students in the U.S.
- Elimu
- Public Libraries as a Resource for Adults and Children
- Sesame Workshop: Supporting Young Children and Families from Afghanistan
- Sesame Workshop: Supporting Young Children and Families from Ukraine
- Summer Activities and Camps for Children
- The Benefits of Enrolling Your Child in School
- Tips for Getting Children Ready for the School Year
- Your Guide to College and University in the United States
-
- COVID-19: Kuelewa Mwongozo na Sheria
- Afya
- Kupata Makazi mapya nchini Marekani wakati wa Janga la COVID-19
- Machanjo Inalindaka Maisha
- Afya na Uzima wa Mawazo
- Kutawala na Kushinda Mkazo
- Afya ya Akili Inchini Amerika
- Answering FAQs on Tuberculosis (TB): A Resource for Newcomers
- Common Reactions to Stress
- Coping Skills to Help Adults Manage Stress
- Coping with Grief and Loss
- Coping with Unresolved Grief When a Loved One is Missing
- Finding Support During Difficult Times
- Helping Children Cope with Fear, Worry, and Stress
- How to Get Interpretation and Translation at Your Medical Appointments
- How to Pick Up a Prescription
- Supporting Your Children During Times of War and Conflict
- Tips for a Better Night’s Sleep
- What to Know About Respiratory Illnesses
- Women’s Wellness Exams Part 1: What is a Wellness Exam?
- Your Rights and Responsibilities in the U.S. Healthcare System
-
- Makao ya Kukodi Inchini Amerika
- Safari ya Kutafuta Makao Amerika
- A Newcomer’s Guide for Renting in the U.S.
- Buying a Home in the United States
- Fire Prevention and Safety Tips
- Housing Priorities for Newcomers to the United States
- Keeping Your Home Cool While Saving Energy
- Nyumba za Marekani
- Rental Housing Affordability in the U.S.
- Renting a Home: The Security Deposit
- Six Tips to Remember When Looking for Housing in the U.S.
- Understanding Additional Monthly Costs When Renting a Home
- Understanding a Lease When Renting an Apartment or a House
- Understanding the Dangers of Lead-Based Paint in Housing
- What Newcomers Should Understand About Their First Housing in the U.S.
- What is an Eviction?
- Msaada wa Watu wote na Kazi ya Kusaidia
-
- Jinsi ya Kushirikiana na Polisi nchini Marekani
- Haki na Majukumu
- Sheria za Marekani: Haki za Marekebisho ya Kwanza
- Sheriya ya Amerika: Uongozi wa Sheriya
- How to Notify Citizenship and Immigration Services (USCIS) of Change of Address
- Registering With the Selective Service System
- What to Do If You Are Stopped in Your Car by the Police
- When and How to Apply for Lawful Permanent Status (Green Card)
Jinsi ya Kushirikiana na Polisi nchini Marekani
Jinsi ya Kushirikiana na Polisi nchini Marekani

Iwapo una dharura, unaweza kuhitaji kupiga simu kwa 9-1-1 ili kuomba usaidizi. Kama vile wazima moto na huduma za ambulansi, polisi wanaweza kufika ili kukusaidia. Unaweza pia kukutana na polisi katika hali mbalimbali katika jamii zenu kama vile wanapowasimamisha madereva kwa kutofuata sheria za barabara.
Ikiwa utakutana na polisi katika maeneo ya umma, wakusimamishe wakati unaendesha gari au kukabiliana nao katika mazingira yoyote, hivi hapa ni baadhi ya vidokezo vya njia zinazofaa za kushirikiana nao:
- Usiwe na wasiwasi na udhibiti hisia zako.
- Kuwa mwenye heshima. Usibishane.
- Weka mikono yako ikiwa inaonekana na nje ya mifuko yako.
- Usikimbiye au kuchukua kitu chochote kwa ghafla.
- Kaa mahali pamoja na uwe mtulivu.
- Ikiwa uko kwenye gari, kaa ndani ya gari na ufunge mshipi wa usalama.
- Usimguse au kusimama karibu sana na ofisa wa polisi.
- Tembea na kitambulisho chako na uwe na nambari ya simu ya mtu anayeweza kukusaidia, ikihitajika.
- Uliza ikiwa uko huru kuondoka na ikiwa ni hivyo, ondoka kwa utulivu.


Kumbuka: Ni sawa kusema kuwa hauelewi. Una haki ya kisheria ya kupewa huduma ya mkalimani.
- Ikiwa utashutumiwa kwa kuvunja sheria na ukamatwe, una haki ya kukaa kimya na kuzungumza na wakili kabla ya kuhojiwa.
- Ikiwa huwezi kugharamia huduma za wakili, mahakama itakulipia gharama za wakili atakayekuwakilisha.
- Ikiwa una maswali kuhusu jinsi ya kushirikiana na polisi, hakikisha kuwa umeuliza wafanyakazi walio katika ofisi iliyokupa makazi ili upate usaidizi.

Habari za sasa
Tafuta maelezo zaidi

Inchini Marekani, sheria inalinda haki ya batu bote. Lazima ujifunze na kufuata sheria. Lazima ujue nini kinaweza kutokea ikiwa utavunja...

Shirikisho la Majimbo ya Marekani lilianzishwa mwaka 1776 wakati wa vita vya mapinduzi dhidi ya Uingereza, nchi ambayo ilikuwa imeitawala...

Amerika inaongozewa na système yenyi kutaka usawa wa inchi na ba raiya balindwe na sheriya na banachukuwa mipango fulani ili...