Huduma ya afya nchini Marekani
Kuelewa Huduma ya Afya nchini Marekani
Kupata matunzo nchini Marekani mara nyingi inaomba kuwa na assurance médicale, ambayo itasaidia kulipia gharama ya matunzo. Kuna aina nyingi ya huduma ya afya:
Medicaid: Mpango wa serikali ambao ina towa assurance ya bure ao malipo ndogo kwa watu wa kipato cha chini, ikiwa ni pamoja na wakimbizi wamoja na wageni. Ma shurti ya ku chaguliwa iko tafauti kulingana na jimbo moja na ingine.
Assurance inayotolewa ku kazi yako: Kazi nyingi ina towa assurance ya afya kama faida. Huenda ukalazimika kulipa sehemu ya garama ya assurance kupitia mshahara wako.
Assurance nyingine: Ikiwa hau eneze shurti inayo ombekana ili ku kupata Medicaid au huna Assurance kupitia kazi yako, unaweza kununua assurance ku marché d'assurance. Usaidizi wa kipesa unaweza kupatikana kulingana na mapato yako.
Watoa huduma za afya
Kuna aina mbalimbali za watoa huduma za afya nchini Marekani. Hapa kuna baadhi yao:
Idara za afya ya kiserkali hutoa chanjo ya kupiganisha magonjwa na huduma zingine za kinga, pamoja na uchunguzi na matibabu ya kifua kikuu. Huduma za kinga za afya ni huduma zinazozuia magonjwa kabla hayajatokea. Kwa kawaida kukutana na daktari inahitajika.
Kliniki za jamii na vituo vya afya vinatoa huduma za kimsingi za afya na ushauri wa afya ya akili. Wengine pia hutoa huduma ya meno na machunguzo ya macho. Katika miji, baazi ya kliniki hutibu aina maalum za wagonjwa, kama vile wanawake wajawazito au watu wenye Virus vya UKIMWI.
Kliniki zinakubali assurance ya kibinafsi na Medicaid (Assurance ya serikali kwa watu wa kipato cha chini), na nyingi hutoza ada kulingana na uwezo wa mgonjwa kulipa.
Madaktari wa kibinafsi ni madaktari wa jumla au wataalam. Madaktari wa kawaida hutoa huduma ya afya ya jumla, ikiwa ni pamoja na uchunguzi wa kila mwaka.
Wataalamu hufanya kazi katika eneo ya kipekee ya matunzo. Wataalamu wengine hutibu vikundi moja, kama vile wanawake au watoto. Wengine wana husika katika sehemu ao mwili mzima, kama vile moyo, macho, au miguu.
Lazima upange kukutana na daktari wa kibinafsi. Kabla ya kuonana na daktari wa kibinafsi, kwa kawaida unahitajika ku onyesha kwamba unaweza kulipa huduma hiyo au kwamba una assurance.
Ikiwa una kuwa na assurance huenda ukalazimika kulipa malipo ya pamoja au ada ndogo (k.m., $20-$50) wakati wa ku anza matunzo yako.
Ikiwa hauna assurance, garama yaku pata matunzo kwa daktari kipekee inaweza kuwa bei kali sana, wakati mwingine mamia ya dola kwa kila kukutana na daktari. Kwa hivi, unaweza kuangalia kliniki za afya za jamii au ya bei chini, ambazo hutowa matunzo ya bei chini kulingana na mapato yako.
Ma Hospitali ni ya wagonjwa walio na matatizo ya afya wanaomba kufanyiwa vipimo au taratibu (kwa mfano, matibabu au upasuaji, na kazalika). Kwa kawaida, daktari wako atakuelekeza kwa hospitali au kwenyewe uta pata matunzo kiisha wewe kutoka ku Urgences.
Matunzo ya hospitali ni bei kali, na unaweza kuombwa ku hakikisha kwamba utaweza kulipia matunzo hiyo au kuwa na assurance kabla ya kulazwa hospitalini. Alakini, idara za dharura za hospitali haziwezi kukunyima kiingilio kwa sababu ya kutokuwa na uwezo wa kulipa.
Kliniki ya soins d'urgences inapatikana katika eneo mbalimbali. Ni kwa ajili ya watu walio na ugonjwa au kuumiya ambalo linahitaji matunzo ya haraka na hai ombe kwenda ku urgence. Hauna lazima ya kukutana na daktari.
Hii ni mifano ya hali inayo tunzwa katika kliniki ya soins d'urgences:
- Kuumiya au kuunguzwa moto kidogo
- Kuteuka ao ku chubuka
- Mwili moto, homa au mafua
- Busa ku masikiyo
- Maumivu ya mulibu au kikohozi
- Maambukizi ku njiya ya mkojo (UTIs)
Salles d'urgences ina tajarishwa tu ajili ya matatizo ya ghafla na makubwa ya afya ambayo yanahitaji matibabu ya haraka. Kwa mfano:
- Maumivu ya kifua au ugumu wa kupumua
- Kutokwa na damu nyingi au kulumiya kutokana na ajali
- Signe ya accident vasculaire cérébral (kama vile kufa ganzi ghafla, kuchanganyikiwa, au ugumu wa kuongea)
- Ugonjwa wa homa kubwa kwa mtoto changa au mtoto.
- Réaction allergique
- Fractures au kuumiya zaidi
Huhitaji rendez-vous kwa kwenda ku urgences, lakini wanaweza kuwa na watu wengi wa ku tunza, na huenda ukahitaji kusubiri kwa muda mrefu ikiwa tatizo lako si kubwa. Matunzo ku urgences ina kuwa bei kali sana. Ikiwa tatizo lako haiko ya kwenda ku urgence, unapashwa kutafuta ku onana na daktari ku kliniki au ku ofisi ya daktari.
Healthcare Providers
There are several different types of healthcare providers in the United States. Here are some common healthcare providers:
Public Health Departments provide immunizations against diseases and offer other preventive health services, including testing and treatment for tuberculosis. Preventive health services are services that prevent diseases before they happen. For refugees, these services are generally free or very inexpensive. An appointment is usually necessary.
Community Clinics and Health Centers provide basic health services and health counseling. Some also provide dental care and eye examinations. Some clinics in cities treat specific types of patients, such as pregnant women or people with HIV/AIDS. Clinics accept private insurance and Medicaid (government insurance for people with low-income), and many charge fees based on the patient’s ability to pay.
Private Doctors are either general practitioners or specialists. General practitioners provide general healthcare, including annual checkups. Specialists work in one area of medicine. Some specialists treat certain groups, such as women or children. Others specialize in one part or system of the body, such as the heart, the eyes, or the feet. You need an appointment to see a private doctor. Before you see a private doctor, you usually have to show that you can pay for the service or that you have insurance.
Hospitals are for patients with special problems who need tests and surgery. Normally your doctor will refer you to a hospital or you will be admitted after an emergency room visit. Hospital care is expensive, and you may be asked to show that you can pay for the service or that you have insurance before being admitted. However, emergency rooms at hospitals cannot turn you away for inability to pay.
Emergency Rooms are for sudden and serious health problems. You do not need an appointment to go to the emergency room, but they are busy places and you may have to wait a long time if your problem is not serious. Emergency room care is very expensive. If your problem is not an emergency, you should make an appointment at a clinic or doctor’s office.
Urgent Care Clinics are available in some communities. These clinics are for situations where you have an illness or injury that needs immediate care, but is not serious enough for a visit to the emergency room. You do not need an appointment.
Haki zako za kiafya
Nchini Marekani, una haki mbili muhimu za utunzaji wa afya: Una haki ya services d'interpretations na una haki ya usiri ama confidentialité.
Wajulishe wanganga wa hospitali au wa kliniki kwamba unahitaji interprete wakati wa rendez-vous yako au ukifika ku soins d'urgences.
Kila kitu kinachotokea kati yako na munganga wako wa afya ni siri kufatana na sheria. Munganga wako wa afya hawezi ku sema sema ajili hali yako ya afya na familia yako, marafiki, au employeur bila ruhusa yako.
Concepts ya Marekani ajili ya Afya
Wamarekani wengi hutembelea daktari mara moja kwa mwaka juu ya bilan de santé ili ku vumbuwa matatizo ya afya kabla haiya kuwa mbaya.
Wanaenda kwa daktari wa meno mara mbili kwa mwaka ili kusafishwa meno yao ili kuepuka matatizo makubwa ya meno.
Waamerika wanaamini kwamba magonjwa mengi yanaweza ku epukwa kupitiya usafi, chakula kinachofaa, mazoezi, na usingizi wa kutosha.
Propreté na usafi na wa kibinafsi
Wamarekani wengi wana oka kila siku, kupiga mswaki mara mbili kwa siku, shampoo mara kwa mara, kupaka deodorant mara moja kwa siku, na kufua nguo zao mara kwa mara.
Maduka huuza aina nyingi ya vitu zinazosaidia watu kuepuka kuonekana wachafu au kuwa na harufu ya jasho. Usafi wa kibinafsi unaweza kuwa muhimu sana kwa kupata na kuwekwa kazi.
Malisho bora
Malisho bora ni kula aina nyingi ya vyakula ili kuweka mwili kuwa na afya ndjema.
Hii ina maana pia kupunguza vyakula vinavyoweza kusababisha matatizo ya kiafya na magonjwa makubwa iwapo vitaliwa mara kwa mara na kwa wingi. Hizi ni pamoja na vyakula vyenye sukari nyingi, chumvi, au mafuta mengi (kwa mfano, vyakula vya kukaanga, vya sukari, na soda).
Huduma ya afya ya akili
Wamarekani wanaamini kuwa afya ya akili ni muhimu kama afya ya mwili. Afya ya akili inarejelea jinsi unavyohisi, kufikiria, na tabia unapokabiliana na maisha. Pia inahusu jinsi unavyoshughulikia mafadhaiko.
Huduma bora za afya ni pamoja na matunzo kutoka kwa mtaalamu wa afya ya akili inapobidi. Ikiwa unahisi kuwa maisha ni magumu sana na huwezi kukabiliana na shughuli za kila siku, unapashwa kutafuta huduma za afya ya akili.
Sheria za Marekani zinalinda na kusaidia watu wenye ulemavu. Assurance ya afya na usaidizi wa pesa ajili ya watu wenye ulemavu zinapatikana, na wanaofika wapya marekani wanaweza kutuma maombi ya faida hizi baada ya kuwasili.
Swali Zinazo Ulizwa Mara Nyingi
Wakimbizi wote wanao pokelewa marekani wata pokeya Assurance ya Matibabu inayo lipiwa na serikali kwa muda karibuni wa myezi 8 kisha kufika kwao. Hata kama iyo bima ina funika haja zenu zote muhimu za matunzo, ina weza kuto husisha magonjwa ya meno ao ya macho. Tunaku unga mkono ku pata kazi muda kidogo tu kisha ku fika kwako ili upate Assurance ya Matibabu yaki binafsi kwa bei kupitiya mushimamizi wako wa kazi. Ikiwa una kuwa na ulemavu ao ikiwa unakuwa na myaka zaidi ya 65, serikali ya Marekani inaweza kupa assurance ya matibabu bure.
Sheriya ya Marekani una chunga na ku saidiya walemavu. Assurance ya Matibabu na msaada waki pesa kwa watu walemavu zinapatikana na wageni wanaweza kuomba hizo kazi kisha ku fika kwao.