Taarifa ya habari
Tafuta Habari za kisasa kuhusu maisha inchini Amerika na utaratibu wa kutafuta makao mupya Amerika
Vifaa vya watu wote
Image

Image

Image

Tengenezeshwa:9/15/2025
Elimu
Marekani, elimu ina patikana kwa watoto wote, bila kushikamana na uwezo wao, miaka, rangi, dini, ama nganzi ya kijamii.
Image

Tengenezeshwa:9/15/2025
Kurekebisha Mila
Kurekebisha mila ni mwendo unaochukuwa muda mrefu. Mwendo huu ni tafauti kwa watu tofauti, lakini kuna hatua fulani katika huu...
Image

Tengenezeshwa:9/12/2025
Usimamizi wa fedha
Gharama ya maisha Marekani ina pishana sana kwa nafasi moja kwa ingine, ila mahali nyingi ina weza kuwa juu. Ndiyo...
Image

Tengenezeshwa:9/12/2025
Wageni kujuwa Teknolojia Numerali (Technologie Numérique)
Teknolojia Numerali (Technologie Numérique) imebadirisha namna watu wanaishi mu duniya nzima. Itakuwa ya lazima piya mu maisha yako hapa Amerika...
Vifaa vya watu wote
Image

Image
