Taarifa ya habari

Tafuta Habari za kisasa kuhusu maisha inchini Amerika na utaratibu wa kutafuta makao mupya Amerika
Image
Firefighters in full gear are working at the scene of a fire. Several firefighters are facing a fire truck, with one standing on top, directing a hose at the burning building. Smoke is billowing in the background, and additional emergency vehicles are present.
Tengenezeshwa:5/30/2025
Kazi ya Pamoja

Kazi za pamoja ni kazi, musaada, vitu, na vpato vinavyo patikana kwa watu katika sherika zao. Kazi izi zinaweza tolewa...

Jifunze zaidi
Image
A smiling woman wearing a black hat is holding a baby and standing in a group with other women. The baby is looking curiously at one of the women in the group. The setting appears to be casual and friendly.
Tengenezeshwa:4/25/2025
Jukumu la Watu nchini Marekani walio na uhusiano na wahamiaji katika Utoaji wa Makazi kwa Wakimbizi

Wakimbizi wanaokuja Marekani kupitia Mpango wa Uandikishaji wa Wakimbizi Nchini Marekani (USRAP) wana fursa ya kutambua mtu nchini Marekani aliye...

Jifunze zaidi
Image
Home Safety
Tengenezeshwa:5/15/2025
Usalama wa Nyumbani

Kujua kuongoza usalama ya nyumba yako ni kitu kizuri—kwako, kwa benye banaikala na weye, na kwa bajirani yako.

Jifunze zaidi
Image
Rental Housing
Tengenezeshwa:5/15/2025
Makao ya Kukodi Inchini Amerika

Amerika, batu mingi banapanga ao banaikala na bengine. Wakati wa kutafuta nyumba, ni vizuri kujua pesa ngapi unaweza kulipa, bei...

Jifunze zaidi
Image
Mwanaume na mwanamuke wanakaribisha wageni ku nyumba.
Tengenezeshwa:7/1/2025
Nyumba za Marekani

Makazi yanaweza kuonekana tofauti sana kote Marekani Unapofika mara ya kwanza Marekani, unaweza ikala katika nyumba ya kupanga, hotel, au...

Jifunze zaidi